mkamanga mkamanga Author
Title: Diva Adai Kuwa Bill Nas bado Ni Underground
Author: mkamanga
Rating 5 of 5 Des:
Diva Adai Kuwa Bill Nas bado NiUnderground Amezungumza hayo wakati Akifanya Mahojiano kwenye Sagment ya Google In4 Kwny Kipind Cha Vib...

Diva Adai Kuwa Bill Nas bado NiUnderground Amezungumza hayo wakati Akifanya Mahojiano kwenye Sagment ya Google In4 Kwny Kipind Cha Vibe La Kitaa Cha Abm Radio ya Dodoma ambapo Dj Rodger alipotaka kujua kwann alifuta Verse ya Bill Nas Kwenye Wimbo Wa Baby Boy Ambao Aliouchia Hivi Karibunia Akiwa na Mr Blue Pia Msikilize Diva Akifunguka Zaid..

Advertisement

 
Top