mkamanga mkamanga Author
Title: HABARI:JACO BEATZ AKUBALI KUSAINI KWENYE LABEL YA ONE SIX
Author: mkamanga
Rating 5 of 5 Des:
Kwa taarifa ambazo zimetufikia sasa hivi punde kuwa msanii anaye kwenda kwa jina la jaco beatz,ambaye pia ni mmiliki wa label kubwa ya mz...
Kwa taarifa ambazo zimetufikia sasa hivi punde kuwa msanii anaye kwenda kwa jina la jaco beatz,ambaye pia ni mmiliki wa label kubwa ya mziki inayo kwenda kwa jina la peremende music label iyo ambayo ipo chini yake uyo msanii. inayo miliki wasanii kazaa hapa mjini dodoma,msanii uyo amesajiliwa kwenye kwenye label ya msanii ONE SIX ambaye pia naye anatokea hapa hapa mjini dodoma,inasemekana msanii uyo ameanzisha label iyo kwa lengo la kuku za vipaji ambavyo bado avija julikana & na wale ambao tayari wamesha pata nafasi ya kujulikana kiasi chake, lakini pia wenye uwezo mkubwa,atuja jua iyo label yake ameipa jina gani ,lakini tutamtafuta one six mwenyewe atupe maelezo zaidi kuusu label yake na anatumia vigezo gani kusajili wasanii,japo kuwa tetesi zilizo tufikia lebel iyo itaanza kusajili wasanii watatu wa kwanza siku ya jumatano, ambayo kwa tetesi msanii wa kwaza akiwa ni JACO BEATZ,japo wengine wawili atuja wafahamu pia.

Advertisement

 
Top