thecapitaltz thecapitaltz Author
Title: MPIGIE KURA MSOFE JAMES Mmiliki wa CAPITAL TZ BLOG Kuwa Best Graphics Designer UDOM AWARDS 2017
Author: thecapitaltz
Rating 5 of 5 Des:
NIaje Mtu wangu ... Mungu ame bless Kuchaguliwa kwenye UDOM AWARDS mwaka huu 2017 kwenye Kipengele cha BEST GRAPHICS DESIGNER ...so Una...

NIaje Mtu wangu ... Mungu ame bless Kuchaguliwa kwenye UDOM AWARDS mwaka huu 2017 kwenye Kipengele cha BEST GRAPHICS DESIGNER ...so Unaweza kunipigia KURA kunifanya kuwa Mshindi. 

Njia za Kupiga Kura 
DOwnload App kwenye Playstore  andika UDOM Awards App kisha nitafute kwenye 
BEST GRAPHICS DESIGNER 
Pia unaweza kunipigia kura Kupitia Web page link udomaawards.pconnects.com 

Follow me on instagram kuzichek kazi zangu @msofegraphics @msofe_msofe @iammgonja

Advertisement

 
Top