thecapitaltz thecapitaltz Author
Title: VIDEO: Makamu wa Rais Samia alivyozindua utoaji wa ‘IPAD’ kwa wanafunzi Dodoma...
Author: thecapitaltz
Rating 5 of 5 Des:
March 13 2017  Makamu Wa Rais wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan  alizindua mpango wa Ugawaji wa Vishikwambi “IPAD” 5, 000, Laptops na Pro...
March 13 2017 Makamu Wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alizindua mpango wa Ugawaji wa Vishikwambi “IPAD” 5, 000, Laptops na Projectors kwa Shule za Msingi 10 za Jimbo la Dodoma Mjini.
Makamu Wa Rais amesisitiza kuhusu utunzaji wa vifaa hivyo na matumizi sahihi ya vifaa hivyo kwa malengo yaliyokusudiwa ili kusaidia kuinua kiwango cha Elimu katika Jombo la Dodoma Mjini
Aidha Makamu wa Rais amepongeza jitihada na ubunifu wa Mbunge la Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde na kuahidi kuendelea kumpa ushirikiano katika kuwahudumia wanadodoma Mjini.
Samia amewataka wasimamizi watakaokabidhiwa misaada hiyo wahakikishe wanaitunza na wale watakaoshindwa watatakiwa kujiwajibisha wenyewe kabla ya kuwajibishwa
Full video nimekuwekea hapa chini…

VID

Advertisement

 
Top