Leo naamini wanaDodoma mtatupima vizuri na kuamua kura yenu idondokee wapi.
Lakini pia nafurahi leo ninapata nafasi kukutana ana kwa ana na wale walionizushia uongo na kunichonganisha na wananchi waliopata athari juu ya kubomolewa nyumba zao na kunyang'anywa ardhi kwa kutunga uongo kwamba mimi ni wakili wa CDA.
Natumaini leo wanaDODOMA watapata ukweli juu ya suala la CDA.
